Led -light emitting diode
Lcd-liquid cystal display
Led -very thin full kioo
Lcd -sio thin saana inategemea na series yake
Kwa upande wa matumizi binafsi naona bora hata nichukue lcd kwa kipato changu kwakuwa quality za led nitazipata kwa kutumia HDMI cable na zote ni HD -high definition.
Pili huo uthininess wa led nani atauona kwani imekiwa laptop? Yenyewe iko ukutani au mezani.
Na pia kama nyumba ya pilikapilika za watoto led haikufai very delicate.
Kuhusu zile series ni kuwa the higher the series the better ingawa tofauti ya series na series ni ndogo sana yaweza.kuwa mashavu tu