Lectures wana Qualification gani?

Lectures wana Qualification gani?

caiden mills

Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
49
Reaction score
19
Hivi wanafunzi wanao baki vyuoni kufundisha huwa wana qualification gani?
 
Qualifications? Wengine ni madaktari, wengine walimu, wanasheria, wengine ni mainjinia, wengine wakemia, nk nk... Wengine wana bachelor, wengine masters, wengine PhD... Inategemea tu...
 
Qualifications? Wengine ni madaktari, wengine walimu, wanasheria, wengine ni mainjinia, wengine wakemia, nk nk... Wengine wana bachelor, wengine masters, wengine PhD... Inategemea tu...
Kwahiyo utashi wa mtu tu au sio
 
Back
Top Bottom