Teaching methods in higher learning!!!!!
Walikuwa wakifundishwa hii sijui kama ipo bado.
Certificate ilikuwa optional kwa anayetaka baada ya kufanya mitihani yao, ila najua ilikuwa ni sehemu ya induction kabla ya kuanza kufundisha!!!
Prof Osaki alikuwa mmoja wa wawezeshaji by then!!!!
Yes just recall that there is participatory methods that is discussion, question and answers,Guarelwork are among also Non-participatory like pure lecture used at University which is very poor methods because it can't stimulate learning and thinking rather facilitates more uses of artificial search engine and not natural one, the results we are experiencing is poor application of our knowledge in managing the environment, this results to set of color job mind to graduates
Ubutu wa BAADHI ya walimu wa vyuo ni zaidi ya tatizo la teaching methodology...
Wakati zamani ikionekana kuwa mwalimu wa chuo is one of the best jobs in town, kwa sasa hali imebadilika sana. Kuna kazi nyingi na za kawaida ambazo zinalipa vizuri kuliko ualimu wa chuo. Wakati siku za nyuma most highly talented students walikuwa wanabaki kuwa lecturers sasa hali ni tofauti na wengi wanasepa kufanya kazi zingine. Hata wengi waliokuwepo wameondoka. Hii imesababisha vyuo kurecruit wa "kawaida", na kwa nature ya kazi ya lecturing, ndio tunashuhudia ubutu huu tunaoshuhudia...
Yeah may be uko sawa ila kwani siku hizi vigezo vya kuajiri chuo ni vipi as compared na hiyo zamani???!!!
Mimi ningesema labda kigezo kisiwe GPA tu maana sii kila mwenye kubwa anaweza kuelewesha wengine!!!
Yes just recall that there is participatory methods that is discussion, question and answers,Guarelwork are among also Non-participatory like pure lecture used at University which is very poor methods because it can't stimulate learning and thinking rather facilitates more uses of artificial search engine and not natural one, the results we are experiencing is poor application of our knowledge in managing the environment, this results to set of color job mind to graduates
Hizi GPA za 3.8 minimum mkuu unaweza kuta kwenye darasa wanazo watu 20. Yes wote ni wazuri, but kiukweli utakuta 1 au 2 ndio wazuri hasa na ndio zamani walikuwa wanabakizwa...
Wabongo bhana hamujui mnachokitaka.....!, mmesahau kwamba nyie ndio mnataka walimu wawe wa div.one tu!,leo hii mnakuja na jingine ooh! gpa kubwa kisiwe kigezo tu cha kuwa lecturer!,mbna kweny div one hamuongelei kipaji cha kufundisha,mbna division four(26-27) wanapewa teaching methodologies mnayoililia hapa bado hamwataki?.......au mnamaanisha grade yoyote utakayopata uruhusiwe kuwa lecturer lkn waende chuo kwanz kupat hzo teaching methodologies kwanza??? Au......?
Basi ifanyike teaching talent search kila mwaka kuwapa hao malecturers
Yani bora umeweza kulisema hilo. Wabongo wengi ni vigeugeu hawaujui msimamo wao katika hilo swalaWabongo bhana hamujui mnachokitaka.....!, mmesahau kwamba nyie ndio mnataka walimu wawe wa div.one tu!,leo hii mnakuja na jingine ooh! gpa kubwa kisiwe kigezo tu cha kuwa lecturer!,mbna kweny div one hamuongelei kipaji cha kufundisha,mbna division four(26-27) wanapewa teaching methodologies mnayoililia hapa bado hamwataki?.......au mnamaanisha grade yoyote utakayopata uruhusiwe kuwa lecturer lkn waende chuo kwanz kupat hzo teaching methodologies kwanza??? Au......?