Hahahahahhahaa umenikumbusha nilikutana na mkaka mmoja aliniambiaga maneno haya haya uliyosema kuhusu wanawake wa kinyamwezi. Nikamwambia usituchukulie poa.... hasa mie naweza toka nje ya mipaka ukastaajabu. Hakunielewa. ... tulikuwa marafiki mwisho tukawa wapenzi... akaanza kuchukua poa kuhusu wanawake wa kinyamwezi tulivyo, siku ya siku alikuja stuka yuko mwenyewe na vidosho wake mie ala sina time nae ila tukikutana namsabahi kama hajawahi nifanyia ubaya. Akinipigia simu napokea kwa sauti nzuri na tunaongea vizuri tuu ila mahaba ndo hayupo tena. Tunachati vizuri tuu ila not anymore as before.
I always move on...