Habari wadau wa Elimu.
Naomba kufahamishwa ile Leaving Certificate unayopatiwa baada ya kuhitimu kidato cha nne au cha sita.
Ina kazi tena baada ya kuwa umeshapata na vyeti halisi vya kuhitimu?
Yaani bado Leaving Certificate zitakuwa zinatumika hata kama na cheti cha NECTA unacho?