Nataka kuroot galax min yangu 5570I
hizi harakati zote sijui za kuroot android,sijui multiple whatsapp account cjui bla bla ni kwa ajili ya nini?what is so special.?au ndo kuonyesha ujuaji like how a certain progamme can be tempered.mi mshamba jamani mniwie radhi kwa maswali yangu.lol
NOTE: INAHITAJI ADVANCE ANDROID USER,
ROOT SIMU YAKO (ATAKAE TAKA JINSI YA KUROOT ANI PM NA DETAILS ZA SIMU YAKE HASA KERNEL VERSION AMA BASEBAND)
UKIROOT KWA MAFANIKIO DOWNLOAD 2Lines for WhatsAPP KUTOKA PLAY STORE,ALAFU GRANT SUPER USER ACCESS, BAADA YA HAPO CONFIGURE HIYO APP BY ADDING NUMBER ZA SIMU UNAZOTAKA (NAMBA 2 TU),
KWA WALE WANAOTAKA PRIVACY MTIRIRIKO NI KAMA WA HAPO JUU ILA WATATAKIWA KU DOWNLOAD SwitchME APP FROM PLAY STORE,BAADA YA HAPO UTAONGEZA ACCOUNT(ADD) YA JINA LINGINE(HII INAFANYA KAZI KAMA COMPUTER INAVYOKUA NA USER ZAIDI YA MMOJA-AMBAPO APP,NAMES,ACCOUNT,LOGS,SMS ZINAKUA TOFAUATI NA ZINAJITEGEMEA KWA KILA ACCOUNT,HII ITALAZIMU SIMU KUZIMA NA KUWAKA TENA ILI KUBADILI USER ACCOUNT).
KUTOKANA NA MWASWALI YATAKAVYO ULIZWA NITAZIDI TOA UFAFANUZI SEHEMU ZITAKAZO KUA NGUMU
Wakuu mi nina shida nyingine ,natumia sony ericsson xperia. Badala ya google playstore yenyewe ina market .nimekuwa nikijaribu ku upgrade ili niweke playstore bila mafanikio hasa ukuzingatia kuwa kuna apps nyingi sana hazipo humu kwenye market.
Naomba anaejua anielekeze cha kufanya
google playstore ni app ya kawaida search na Google "google playstore apk" download hiyo apk afu install umemaliza.....lkn enable simu yako ku install non market apps...au pia waweza tafuta BLACKMART ALPHA[/
Ok thanks mkuu
Okey,ina android ipi!?,kuna njia rahisi sana naifanyia kazi sa hv,ntakuelekeza,ila computer lazima iwe na microsoft .NetFramework 2.0+ (ili hii ya SuperOneClick ifanye kazi)
Ama waweza tumia njia zingine,nakutumia punde