MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,512 Reaction score 15,125 Aug 2, 2019 #121 Sawa bibie Atoto Atoto said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mama inauma sana kuwa furushi halafu unajijua ni furushi. Inauma mnooo. MLEVi Mmoja na Perimeter vumilieni tu au mchukue hatua[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand...
Sawa bibie Atoto Atoto said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mama inauma sana kuwa furushi halafu unajijua ni furushi. Inauma mnooo. MLEVi Mmoja na Perimeter vumilieni tu au mchukue hatua[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand...
D DadiMkaliWao JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 253 Reaction score 393 Aug 4, 2019 #122 NAKWEDE said: Wanaume walishajifanya wao ndio wana hela wanawake hawana hela π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ Click to expand... Wanawake wanapenda kuhongwa na wanaume zao. Mwanamke hata kama ana milioni moja mfukoni akihongwa elfu 20 na mwanaume wake anafurahi. Pesa kwa mwanamke ni kama sex kwa mwanaume. Ndo maana mahusiano yote huwa yanahusisha exchange ya hivi vitu viwili.
NAKWEDE said: Wanaume walishajifanya wao ndio wana hela wanawake hawana hela π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ Click to expand... Wanawake wanapenda kuhongwa na wanaume zao. Mwanamke hata kama ana milioni moja mfukoni akihongwa elfu 20 na mwanaume wake anafurahi. Pesa kwa mwanamke ni kama sex kwa mwanaume. Ndo maana mahusiano yote huwa yanahusisha exchange ya hivi vitu viwili.