Mwaka jana nilimuahidi mfanyakazi wangu wa nyumbani kuwa ntamjengea nyumba. Ni wa kiume, nilimnunulia kiwanja maeneo ya kiegea Morogoro na mwezi huu wa kwanza nimemkabidhi nyumba ya room 2 pamoja na bajaj ya kuanzia maisha. Namshukuru Mola kwa kuwa niliishi nae kama ndugu na alikuwa muaminifu sana. Lakini pia nilimsomesha veta mambo ya umeme! Hiyo ndio sadaka yangu, sadaqah jariya.