BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Hili ni jina maarufu kwa wakazi wa Dar na vitongoji vyake. Hususani wapenda michezo na burudani. Nilikuwa pale wiki mbili zilizopita kulikuwa na Bonanza ya wanamazoezi ya gymnasium kwa waliopo Dar.
Nilivinjari viunga vya Dar leaders, kwa kweli upkeeping yake ni very poor kama kawaida yetu watanzania tuliokosa maono na akili ya kujiongeza na ubunifu mazingira yako hovyo uzio hakuna, vyoo vichafu, mazingira ya Bar zao na huduma za chakula hovyoo!
Hata kama ni vigumu kufikia viwango vya Gymkana lakini mazingira yawe safi jamani pale kuna uongozi, burudani na matukio kibao yanafanyika pale lakini hadhi yake ni mbaya kimatunzo.
Huo ni mfano tu wa leaders lakini sehemu nyingi za namna hiyo mazingira yake hayafai, hata baada ya mazoezi mtu hana hata sehemu ya kuoga! (hii ilinikuta pia swimming pool ya UDSM bafuni hakuna maji ya kuoga!) only in Tanzania.