1. Ni kawaida ya shoga kujisema mwenyewe hata asipoulizwa kama ulivyofanya na kwa mwanaume kama wewe kuuliza maswali ya kike kama haya huoni kuwa unajisema ni shoga maana tabia za kishoga shoga ni pamoja na kuhisi wengine wote ni kama wewe yaani shoga au nakosea mkuu?
2. Mtoto wa kiume kama wewe kuuliza uliza wanaume usiowajua umri wao kwenye social media inaashiria nini mkuu na hasa hapa mjini Dar? hahahahahahah
le Mutuz
Hata mimi limeniblock liendelea kudanganya mafala kama yeyeNilimpa challenge kidogo akaniblock.
Hata mimi limeniblock liendelea kudanganya mafala kama yeye
- Sasa wewe mtoto mchanga wenzako wapo Muhumbili Mwaisela wewe huku unatafuta nini? hahahahahahahahha
le Mutuz
Kaka na huku upo au umekuja kutaka kununua gari la le mutuz
Ile noah ya le mutuz
Ha ha!Kaka na huku upo au umekuja kutaka kununua gari la le mutuz
Just jokes
Nikajua washinda majukwaa ya magari tu ,,Ha ha!
Nimepita kusafisha macho kaka
Hapana,Nikajua washinda majukwaa ya magari tu ,,
Nipo namsikilizia le mutuz hapa. Tufanye biashara ya noah maana naikubali sana ile noahHapana,
Hua naingia sehemu mbali mbali kucheki yanayojiri kaka!
Ha ha alafu yeye anabishanaga hata na watoto.. Anatukanana nao .. Wakimzidi facts anawablockMi alishaniblock kote nasubiri humu pia aniblock alafu tutakuja kuonana siku moja nitamwambia mimi ni fulani .. Akijichekesha namrekodi nawatumia ...
Mwafaaaaaazzzzzz
le mbebeziiiii the akili kubwazzz!
mie huwa nakufagilia kinoma!...the celebuuuu....ze akili nenes....
u know!
ha ha ha ha haa haaaaa