Hahahaha nimemuona Nikamfananisha na Huyu Jamaa
Jibu swali mbona unajishtukia sasa?Wewe ni Ke kwani?
Le mtumboz!!Le pumbuziii
Huyu jamaa anafurahisha sana. Majina yake sijui huwa anayapata wapi!
Mara Mobimba, Nye Nye, Kokobanga. [emoji23][emoji23][emoji23]
Le mobimbazzzHuyu jamaa anaitwa nani?
Wote mnao comment kuhusu miguu miembamba macho yenu mabovu,angalieni vizuri ni nini kinafanya miguu ionekane miembamba.( hint:mwanga )
Mpnz...Kibamia ni janga.Halina Ke wala Me.Jibu swali mbona unajishtukia sasa?
Naona kwa mbali akili yake inataka kulingana na miguu yakeMwili na akili ni inverse proportional. kapewa mwili kanyimwa akili