HahahahhahahahaMiguuni sasa
MutuuuuuzzzzzzHuyu jamaa anafurahisha sana. Majina yake sijui huwa anayapata wapi!
Mara Mobimba, Nye Nye, Kokobanga.![]()
Wife ameniambia mi naanza kuugua kichaa maana nacheka peke angu!.Miguuni sasa
Mkuu akuvumilie tu jf ina mambo mengiWife ameniambia mi naanza kuugua kichaa maana nacheka peke angu!.
Miguuni sasa
Naona kama fimbo zimechomoza... tehteehhhHahahahhahahaha