MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,639
amesema anaomboleza msiba kizungu na wala halii hovyoUmepata faida gani kumtania mwezako wakati hata week ya msiba wa mama yake hajamaliza??
Anajitakia na matabia yake ya hovyo yasiyo endana na umri wake ambao kwa sasa ni sawa na mstaafu serikaliniHuyu jamaa alishakutana na kashifa za kila aina humuhumu jf sijui alishawakosea nini mtoto wa watu