Lazy Saturday Deserting....☺️

Lazy Saturday Deserting....☺️


Wuuuh...!

Are you in love...!???

Do you fell the feelings...?😍

If there’s no harm, please go ahead...

There’s nothing sweet in this world than being loved...😇.
 
Where are you lovely Kassie? Nakupitia ili tukapate chakula cha usiku pamoja.

Pia nimekubebea zawadi nzuri ambazo unazipenda mama.

So jiandae lovely Kassie. I'm on my way.
 
Where are you lovely Kassie? Nakupitia ili tukapate chakula cha usiku pamoja.

Pia nimekubebea zawadi nzuri ambazo unazipenda mama.

So jiandae lovely Kassie. I'm on my way.
Eagerly Waiting....
 
Dakitari kaniambia yataota mengine...

😜😅.

U’ mzima??!
Mi mzima sana. Umenikumbusha zamani sana. Tulikuwa hatutaki kula shingo za kuku. Mama akatwambia tukila shingo za kuku chinjachinja akituchinja zile shingo zitaota tutakuwa hai. Shingo zikatukoma
 
Holla fam,

Hopes your Saturday is good so far, mine is bam bam like coco yam [emoji532] [emoji39][emoji39].

Oouukey, why a new thread...

Nilienda mahali mchana, wakati natoka hapo mahali nikakutana na wadada wanaenda kuvunja kikoba tulisoma wote lasaba B...

Baada ya salamu na selfie za hapa na pale wakaanza, Kasie twende karibu ujumuike nasi kwenye kikoba chetu .....

Nikawashukuru kwa ukaribisho ila nikaendelea na ratiba zangu.

Kuna kitu nasita kukisema hapa maana mhusika kama yumo humu atavuruga weekend yangu.

Mwisho wa siku nikajirejesha nyumbani na kuanza kujidunga.....[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

View attachment 2040716

Karibuni....[emoji39][emoji39]

Nasubiri mida mida ifike nikapashe viungo [emoji1437].

Kasinde bibi Samfood.
aiiii bibi sio vizuri [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]yammy
 
Back
Top Bottom