Lazy Saturday Deserting....☺️

Lazy Saturday Deserting....☺️

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Holla fam,

Hopes your Saturday is good so far, mine is bam bam like coco yam 🍠 😋😋.

Oouukey, why a new thread...

Nilienda mahali mchana, wakati natoka hapo mahali nikakutana na wadada wanaenda kuvunja kikoba tulisoma wote lasaba B...

Baada ya salamu na selfie za hapa na pale wakaanza, Kasie twende karibu ujumuike nasi kwenye kikoba chetu .....

Nikawashukuru kwa ukaribisho ila nikaendelea na ratiba zangu.

Kuna kitu nasita kukisema hapa maana mhusika kama yumo humu atavuruga weekend yangu.

Mwisho wa siku nikajirejesha nyumbani na kuanza kujidunga.....😋😋😋😋😋

62C70DAA-CAEF-4D4D-8BCD-6080146E6E63.jpeg

Karibuni....😋😋

Nasubiri mida mida ifike nikapashe viungo 💃🏽.

Kasinde bibi Samfood.
 
View attachment 2040716

Utaoza meno ohooooooo
 
Sukari sukari si nzuri kwa huo umri wako
 
Back
Top Bottom