Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,082
Huu ni uonezi mbaya zaidiSamahan naongezea
20. Kununua king'amuzi cha star times kwa bei ya juu kwa ahadi ya kuweza kupata local channels bure kisha wanavipunguza bei local channels hupati customer care anakujibu huo mfumo wa free channels tumeuua.
Hapo ukiongeza miaka 3 ya chekechea ni miaka 22! [emoji51]Unapoteza miaka 19 shuleni ili kua na maisha mazuri afu unakosa ajira!
ndio utakapojua anamaanisha nini.Unapoteza miaka 19 shuleni ili kua na maisha mazuri afu unakosa ajira!
Hii inakera sana.Unapiga kura chama kingine halafu unambiwa CCM ndio wameshinda....
Uwiiiiiiii...maumivu yake kama jipu la pua au kwapa.Umedate na mwanaume miaka kadhaa anakupiga chini afu kabla hata hujajielewa anaoa baada ya miezi 6