Lazima upigwe tu

Lipa kodi kwanza!!! Mbona unakuwa hivyo weye!!!! Mshahara wa milioni 26 kwa mwezi wakati mwalimu mwenye mshahara wa laki nne analipa kodi!!! Ni aje banaaa!!!! Acha hizo za kukwepa kulipa kodi unapunguza mapato ya Taifa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…