Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,896 Jul 23, 2017 #1 ...pale mwanafunzi wa Magufuli uliemlala anapokuletea taarifa kwamba ana ujauzito wako na anahisi ameshashtukiwa wakati huo huo kwenye Tv unamsikia mkuu anawaka kuhusu jambo hilo!!! sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
...pale mwanafunzi wa Magufuli uliemlala anapokuletea taarifa kwamba ana ujauzito wako na anahisi ameshashtukiwa wakati huo huo kwenye Tv unamsikia mkuu anawaka kuhusu jambo hilo!!! sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Jul 23, 2017 #2 π π΅ π Wazinzi utawajua tu, kila wanachowaza ni uzinzi tu...
Drjacka92 JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 445 Reaction score 523 Jul 23, 2017 #3 Ukipanda mbegu shambani unategemea mazao. (Nimekaa siti ya mtu hapa) G.Don-Master.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jul 23, 2017 #4 Mvua 30 tu hapo hamna namna
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jul 23, 2017 #5 Hii Picha sasa Kero
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,573 Reaction score 12,316 Jul 23, 2017 #6 Sasa miaka 30 jela na huyo mtoto atakayezaliwa hawaoni kwamba atakoswa malezi ya baba hapa tunazalisha panyaroad tu adhabu ibadilishwe
Sasa miaka 30 jela na huyo mtoto atakayezaliwa hawaoni kwamba atakoswa malezi ya baba hapa tunazalisha panyaroad tu adhabu ibadilishwe