Lazima upate kinyaaa!

Lazima upate kinyaaa!

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Mmmmmmmh

Siwadisi mademu kwa sifa ila najiuliza hivi nao ni bidhaa**?

mbona wanajiunza na wamepata wapi hiyo ridhaa**?

ingawa siwanunui ila nimewaona maeneo kadhaa**?

ndipo lipongundua baada ya kuona jinsi wanavyovaa**?

daah huwa nashagaa najiuliza hivi wanaojiuza nao wanaradhaa**?

je,.? wanagawa mapenzi ili mradi wapate chapaa**?

buguluni, mwananyamara, kariakoo ukipita usiku lazima upate kinyaa**?

hivi serikali na taasisi hamulijui hili au mnasubiri tupate
balaa**?

mmmmh kinga ni bora kuliko..Kuzua balaa**?


kama na wewe unayaona mwana fasihi mwezangu weka hapa ili wapeta kuduaa***?

wakina nan? hawa wakina sayansaa**.
 
Hii ilifaa jukwaa la lugha na heading inatamanisha watu kuifungua thread huku wamejiandaa na kitu cha ajabu
 
A great thinker!! una haja gani ya kuficha jina lako?
 
Maisha ya sasa yanatisha**

usipo komaa
lazima utalinukisha**

lazima uuze mtojo ili upate chakula cha kutosha**

ni hayo tu.
 
hao wanawake hawajiuzi bali wanakodishaa**
ndo mana ukimaliza shida zako unamlipa chake anasepaa**
 
Back
Top Bottom