mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
kioo cha jamii
Ubarikiwe
kioo cha jamii
Mmmmmmmh
Siwadisi mademu kwa sifa ila najiuliza hivi nao ni bidhaa**?
mbona wanajiunza na wamepata wapi hiyo ridhaa**?
ingawa siwanunui ila nimewaona maeneo kadhaa**?
ndipo lipongundua baada ya kuona jinsi wanavyovaa**?
daah huwa nashagaa najiuliza hivi wanaojiuza nao wanaradhaa**?
je,.? wanagawa mapenzi ili mradi wapate chapaa**?
buguluni, mwananyamara, kariakoo ukipita usiku lazima upate kinyaa**?
hivi serikali na taasisi hamulijui hili au mnasubiri tupate
balaa**?
mmmmh kinga ni bora kuliko..Kuzua balaa**?
kama na wewe unayaona mwana fasihi mwezangu weka hapa ili wapeta kuduaa***?
wakina nan? hawa wakina sayansaa**.
mwana fasihi nafikiri u ndugu yangu toka Shinyanga, huko tushangaapo twaduaa!
Kariakoo nakujua, nielekeze BUGULUNI na MWANANYAMARA nami nipate japo kwa uduchu kuduaa.
vipi hizo bidhaa zipo za kuonjeshwa kwa ridhaa?
Chenji usishau kumrushia mjomba maduhu, japo vocha ya buku.
Hazi?....Swali la form one.! unalileta kwa mtu wenye hazi ya juu kama mimi.
hivi na wewe ni msanii ?
Swali la form one.! unalileta kwa mtu wenye hazi ya juu kama mimi.