Lazima ugeuze shingo

Sijaona nguo ya kubana au isiyo na heshima....Hivi washawai kuona msambwanda uliobanwa na pedopusha? bashiru kakata shingo ila FA kaona hakuna jipya ndio maana hata hakugeuza shingo.
 
Watu wananjaa humo 😂😂😂

Ova
 
Kilichofanya wageuke wala sio huyo Dada. Pia hata aliyesimama mlangoni mbele ya huyo Dada nae amegeuka.
 
Sijaona nguo ya kubana au isiyo na heshima....Hivi washawai kuona msambwanda uliobanwa na pedopusha? bashiru kakata shingo ila FA kaona hakuna jipya ndio maana hata hakugeuza shingo.
Mpaka pedo kama inataka kuchanika sasa hivi!!!!! Kipoozeo
 
Huyu Magige aliyekwenda kufanya vurugu kwenye kifo cha mchumba wake ambaye ni mume wa mtu mbona huwa anajiachia tu bila wasiwasi tena huko huko bungeni? Au kwa kuwa ni pisi?
 
Sura mbaya, shape Hana mmemfanya atrendi mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…