Lazima nishambuliwe kwa mada ya leo

Pole dogo.....watu hujifunza kupitia magumu....(tafsiri isiyo rasmi).

Ila huu uhadithiaji wenu, ama unatupeleka puta wazee...
 

kama kawaida sifagilii upuuzi huu,na kwa kuwa umejua utashambuliwa leo sikushambulii ila nakupongeza kithungu....MAZAFAKA
 
Tamaa mbele mauti Nyuma tena Unanyota ya mapacha na wangekubaka Je Mshukuru Mungu sana
 
Kitty sa si umeshasema we ni player na hapo ulikuwa kwenye anga zako sasa unataka tukushauri nini? Maplayer huwa hawapendi, wana-hit na ku-run, so just keep on playing na wala usijali hao victims coz they have to hate the game not the player!
 
Yaaani boobookitty ana story flani hivi amazingiii
I real enjoy nikisomaa story zakoo
 
Last edited by a moderator:
 
.........Ni-PM nikuelekeze na nikupe namba ya muhusika wa JF anaepokea malipo/hela ya matangazo.
 
Dus y I don't want a girllove or wife for this generation bcoz it is stupt generation
 
nilijua kitu cha maana kumbe upumbavu, waschana wengi mko hivyo hivyo...ndo mana kupata mke mwema kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…