Lazima nishambuliwe kwa mada ya leo

Hii story yako mpelekee JB aitolee move fulani hivi amazing
 
Maharage ya Mbeya,anagawa uroda kama biscuit.
 
Jifunze kuandika kwa lugha inayofahamika,Kiswahili kibovu,English mbovu!! Kazi kupoteza time yako na kuchat na watu usiowajua!!
 
Mie nimepata msemo connect katika chaji. Story yako Inajieleza mengi
 
jiangalie sana sikunyingne uta "bakwa" we angaika tu utachezewa mchezo mpka uhone dunia chung akya god me nkuangalia tu
 
Nipe user name la kule mtandao wa mapicha pich,nika rate ur fotoz
 
Nyie ndo wale mkiolewa hamridhiki na mume mmoja, mnabaki tuu kuangaika na out going feelings za muda tuu. Hongera zako unaebaba Ndoo na kidumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…