Lawyer wants Zanzibar Constitution Nullified for contravening Union Constitution | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lawyer wants Zanzibar Constitution Nullified for contravening Union Constitution

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jan 7, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"]Friday, 06 January 2012 21:17[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  [​IMG]

  By Ray Naluyaga

  The Citizen Bureau Chief

  Mwanza. A Mwanza lawyer has filed a petition with the Special Constitutional Court of Tanzania, challenging the Zanzibar Constitution, which was amended in 2010.


  Mr Stephen Magoiga has asked the court to declare as null and void four matters enshrined in the Zanzibar Constitution of 1984, as amended in 2010, and has named the Attorney General of the United Republic of Tanzania and the Attorney General of Zanzibar as the respondents.


  The contentious areas include the provisions of Section 2A of the Constitution of Zanzibar, which empower the Isles President to divide Zanzibar into regions, districts and other administrative areas without consulting the Union President.


  In his petition, Mr Magoiga argues that the application and operation of the provisions of section 2A of the Constitution of Zanzibar of 1984 "grossly contravenes the provisions of Article 2(2) of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977".


  He says the provision is unconstitutional as it gives the Zanzibar President powers that the Union President does not have, adding that the President of the United Republic of Tanzania is compelled by the Constitution to consult on the formation of new administrative areas.


  He further argues that the application and operation of the provisions of section 26(1) of the Constitution of Zanzibar of 1984 grossly breaches the provisions of Article 33(2) of the Constitution of the United Republic of Tanzania.


  Mr Magoiga says the provision should equally be declared null and void because it now provides the United Republic of Tanzania with two heads of state, contrary to union matters number 1, 2 and 3 as provided for in the first schedule of the Constitution of the United Republic of Tanzania.


  "The said provisions are unconstitutional and abrogate the provisions of Article 34(1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania, for when it comes to foreign matters there cannot exist two states but one state – The United Republic of Tanzania."


  Articles 1, 2 and 3 of the Union provide the Constitution of Tanzania and the government of the United Republic of Tanzania, Foreign Affairs and defence as Union matters listed in the first schedule of the said Constitution.


  He also says in his petition that Section 24(3) of the Constitution of Zanzibar is unconstitutional and violates the provisions of Article 117(3) of the Constitution of the United Republic of Tanzania.


  "The provision bars the jurisdiction of the Court of Appeal of Tanzania from determining any appeal, including human and basic rights, emanating from Zanzibar while under paragraph 21 of the first schedule of the Constitution of the United Republic of Tanzania, the Court of Appeal is a Union matter."


  Mr Magoiga adds that all matters of human and basic rights, both at national and international levels, are vested in the United Republic of Tanzania government as a ratifying state.


  On the fourth matter, Mr Mogoiga challenges the application and operation of the provisions of Section 121(1),(2) and (3) of the Constitution of Zanzibar as they violate Article 147(2) of the Constitution of the United Republic of Tanzania.


  He says the provision exclusively empowers the United Republic of Tanzania government to establish and maintain forces of various types.


  "By the Zanzibar Constitution raising and maintaining these forces such as KMKM, Jeshi la Kujenga Uchumi and others is against the union matter number 3," he says. In his petition, he questions who is the Commander in Chief of these established forces outside the known forces in the United Republic of Tanzania Constitution? "This is an imperative question in this petition," he adds.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Interesting.... Mzee Mwinyi will turn Green!!!
   
 3. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Very Good Magoiga! You have our support.
   
 4. P

  Paul J Senior Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  It is a good start but my worry Mr. Magoiga might be silenced by those in power at any cost because this is one of the issue our leaders don't want to be touched! I expected this issue would have immediately sorted out by Ministry of Constitution and Judiciary when Zanzibar ammended her constitution, the ongoing silence implies the ammendements to have been accepted by our blind leader and Magoiga is doing a miracle of opening their eyes! Let us wait for the end of this interesting petition!
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ONGEZEKO LA MWAMKO WA MABADILIKO NCHINI:
  NDOA HARAMU YA CCM NA KAFU ZANZIBAR CHINI YA MISINGI YA 'UTAWALA WA MTU' SASA KUSAMBARATISHWA KI-SHERIA KWA MASLAHI YA UMMA NA KUREJESHA TAIFA KATIKA MSTARI WA 'UTAWALA WA SHERIA'

  Katika historia ya nchi yetu hakuna shaka kwamba mbali na minung'uniko kibao chini ya meza toka kwa wananchi yamekua yakipuuzwa na kukanyagwa chini ya sakafu kwa visingizio vya 'Chama Kushika Hatamu' hivyo mtu kutokua na nafasi kukihoji CCM kitu hata kama mmbo ni wazi kwamba yanakwenda mrama.

  Katika hali kama hii, vile vile ni wazi kwamba wasomi wa nji hii tumekuwa ni wasaliti wakubwa wa azma ya wanaanchi kutamani mabadiliko ya kweli kwa kutojitokeza kwetu msitari wa mbele kimapambano. miaka mingi sana

  Lakini mpaka hivi sasa hali imebadilika sana na hivi sasa kila kwa nafasi yake tu bila kubembelezwa na mtu, kila mmoja kwa taaluma yake, watu wameanza kujitokeza hadharani na kuhoji mambo pasipo kurudi nyuma.

  Misingi hii imara ilianzishwa na wachache sana kama vile Mchungaji Mtikila, Mama Nkya, Mabere Marando, Dr Willibroad Slaa, Bob Makani, Edwin Mtei, Freeman Mbowe, Jenerali Ulimwengu,pamoja na Mzee Joseph Sinde Warioba.

  Wengine katika kundi dogo hilo la watu majasiri wa KUHOJI MAMBO pia wameonekana akina Mzee Samuel Malecela, Dr Mwakyembe, Mama Anne Kilango, Mzee Joseph Butiku, Kamanda Makongoro Nyerere, Mmiliki wa Taasisi ya Haki Elimu Tanzania, Godbless Lema, Zitto Zuberi Kabwe, Hamad Rashid Mohamed, Haji Duni Haji, Prof Mwaikusa, Prof Haroub Othman, Kadinali Polycarp Pengo, Askofu Kilaini, Askofu Mdegela, Askofu Laiser, pamoja na Sheikh Ponda Issa Ponda na wengine kibao tu.

  Lakini leo hii idadi hiyo imepanuka zaidi ya mara 20 kidogo nchini. Kundi hili la watu wenye kiu yaa kupigania KILICHO HAKI kwa taifa letu bila kujali itikadi hivi sasa wapo kizazi kipya kila idara ikiongozwa na Taasisi isiyorasmi ya Jamii Forum (JF), 'Mzee Mwanakijiji', 'Invisible', 'Mchambuzi', 'Malaria Sugu', 'FaisalFox', 'Mkandara', 'Pasco', 'Regia', 'John Mnyika', 'Julius Mtatiro', 'Nape Nauye', pamoja na 'Hutaki Acha' kama taasisi zinazojitegemea ndani ya JF.

  Kama moto wa mabadiliko utakua haujatosha basi tunawaona waadhiri kibao nchini kakitema cheche hivi sasa kila kona ya nchi yenye lengo la kujenga taifa letu na kuturudisha kwenye mstari ili kuokoa vilema zaidi wa UFISADI katika taifa letu.

  Hakika katika msururu huu wa Watanzania wenye mawazo huru na wenye kusimamia vilivyo kile wanachokiamini hivi sasa tunawaona washika nafasi zao stahiki waandishi wa habari machachari kama vile Saed Kubenea, Maggid Mjengwa, Absalom Kibanda, Samson Mwigamba, Fr Primusi Karugendo.

  Taasisi zingine machachari ajabu hivi sasa yenye kuhoji mambo na kutoa misimamo ni pamoja na BAVICHA, UV-CCM ya sasa, Tanganyika Law Society, UDASA, Vikundi vya Wanafunzi wa Vyuo nchini, pamoja na Jukwaa la Katiba kwa uchache tu.

  Ongezeko hilo lote ni ishara tosha kwamba hivi sasa taifa kweli limeiva leo kuliko hapo jana tukielekeza akili zetu zaidi katika kupatikana kwa dhahabu iitwayo TANZANIA TUNAYOITAKA kabla ya 2015.

  Hivyo, kama kuna mtu aliwahi kudhani kwamba Watanzania bado tupo usingizini bila kuwa na uwezo wa KUHOJI MAMBO basi that person will soon be in for a rude suprise over major new awareness levels, critical thinking actions and developments as a number of the PREVIOUSLY UNTHINKABLE LEGAL TUSLE start streaming in from different quarters and even push aside the ILLEGITIMATE CUF / CCM political marriage into the graves.

  Big up sana learned friend of the bar, Stephen Magoiga. Ni matarajio yetu kwamba jopo kubwa la Wanasheria wachukia UFISADI JUU YA KATIBA YETU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, kama ambavyo CCM na CUF walivyotafuta kufanya kwa kujifurahisha tu wenyewe kinyume na mtarajia ya hiyo sheria mama, kamwe hawatochelewa kujihiari kuungana na timu yako kuimarisha azma na benchi zima la utaalam kutafuta kuturudisha kwenye msitari wa utawala unaokubalika na wote.

  Ni matarajio ya umma wa Tanzania kuona kesi nyingi zaidi zikiibuka na kutafuta kunyoosha mambo ipasavyo kwa kulinda UTU, HAKI, MASLAHI NA HESHMA YA MTANZANIA WA KAWAIDA (si watawala wachache) kwa kila hatua ya ukiukaji wa sheria zetu za nchi ikiwemo ule Muswada Tata, Kuminywa kwa Haki ya kuhoji Matokeo ya Uchaguzi wa Rais, na swala la Mgombea binafsi nchini.
   
 6. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 739
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 80
  Kazi kweli kweli,Mwanasheri mwengine aliyekurupuka huyo na hajui hata anakifanya nini?Ati anai-challenge katiba ya zanzibar ya mwaka 1984...Zisomeni vizuri Article of union, katika JMT 1977 na katika ya Zanzibar ya mwaka 1984
  Na bahati mbaya kwake yeye siyo wa mwanzo na for sure hatokuwa wa mwisho lakini bahati mbaya atatoka kapa
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye RED,

  Mkuu mbona unasinyaa hata kabla wataalam hawajafika kuhoji mambo mahakamani? Tuliza boli wewe; haki si keki mtu mmoja kuwamegea wengine jinsi apendavyo la sivyo Mtikila asingeweza kushinda kesi ya 'Mgombea Binafsi' kipindi kile huko huko mahakamani nje ya mtarajio ya watawala wabanifu wa haki nchini.

   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  namfahamu huyu mzee personally. Ni msabato king'ang'anizi na huwa haogopi mtu au kitu. Waislamu hapa MWANZA wanamjua kwenye kesi ya uchomaji Qur'an. Songa mbele baba. Show them
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nyakageni,

  Tafadhali mwaga profile huyo Mzee.


   
 10. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 739
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 80
  Bora nikuambie kwa lugha simple.hakuna chombo chochote cha JMT ambcho kina uwezo wa ku nullify katiba ya Zanzibar.Kasome vizuri mamlaka ya mahkama kuu, mahkama ya katiba na mahakama ya rufaa.kama si hivyo utafanya mambo kwa kukurupuka na kujitafutia umaarufu.lakini kwa watu wenye kuelewa watakuona hujui unachokifanya kwa wale wasiojua chochote utakuwa ni hero.kama alivyokurupuka kina HR juzi event inafanyika ZNZ wao walienda mahakamani Dar...Piga shule

   
Loading...