sorry batch sita kwa maana ya majina kupangwa yaani walitoa orodha ya majina ya wanafunzi walioapply yakafika batch 6 lakini mpaka sasa zimeshaanza 4 sasa lakini zilizomaliza rasmi kabisa ni 2 tu ya tatu ndio wamemaliza part one wanaenda field tena then watarudi baadae tena kumalizia.
Bwana Dilunga nimerudia kunukuu sehemu hapo juu ili usome tena kama itasaidia kujibu hoja ya ........."
Bado sielewi unaposema toka 2008 zimemaliza batch sita" I hope it will help you understand.
Ok Hoja yako nyingine, kuhusu mabadiliko ya sheria, kikao cha bunge kilichomalizika tu week iliyopita, Waziri wa sheria na katiba pamoja na mambo mengine, I aliliambia bunge wizara yake inakusudia kuleta marekebisho ya sheria hiyo katika kikao kingine cha bunge .
Labda bunge la mwenzi wa kumi na moja mwaka huu au Mwakani /( emphasis is mine)
Ok Hoja yako nyingine, kuhusu matokeo, nikweli I am not sure about the statistic kama ulivyotoa wewe 270 kufeli kwa 35 Kufaulu lakini ninachokifahamu ni kwamba, kuna makundi matatu,
Kundi A Waliofaulu namba inakaribiana na ulitosema wewe 30s Kundi B wanasupplimentaries and Kundi C walio fail .
Generally, ni kweli kwamba waliofaulu ni wachache mno kama ninaweza kuweka katika asilimia maybe around 11.6 % wamefaulu (35 kama statistic zako zitakuwa ziko sawa) na wenye supplimentaries 73.3 % na waliofail 15 %, kwa lugha nyingine wenye supplimentaries na waliofail unaweza ukawaweka kwenye kundi moja because ili tuwe na makundi mawili waliofaulu 11.6 % na waliofail 88.3 % . Lazima niseme statistic zinawezazisiwe sahihi 100 % lakini no big difference either hata data kamili zikiletwa sasa basi ili tuwezekujadili, nimeamua kuweka hivyo. Now kama Law school ni Mpango wa kuboresha sekta ya sheria je kwa sasa tunaweza kusema nini baada ya matokeo kuwa mabaya hiyo ?
Swali lako kwamba tatizo ni nini is any issue ambayo kwayo hata mimi bado sijapata majibu yake? Please let us discuss.
Ok wanafunzi wa law school ni kweli wanafanya mitihani ya theory asilimia kubwa na practical asilimia kidogo sana > Swali ni kwamba kwanini wakati shule ni ya practical training kama ulivyosema kwa uhakika hapo juu.
Mimi sasa, kutokana na point yako ya kwanini wanafanya mtihani ya theory ndio swali lingine kubwa la kujiuliza . Please it is also open for discussion .