krystiano7
Member
- Mar 19, 2019
- 94
- 132
Habarini wanajamvi?Leo nilikua nataka nitoe shuhuda mbili baada ya kuapply law of attraction katika mambo mawili tofauti ambapo nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
A. Safari ya Serengeti
Mnamo December mwaka jana nikiwa zangu nyumbani Moro nimetulia nikapata wazo la kwenda Mbuga za Serengeti ambapo budjet yangu na familia ilikua around 3.2mn, bahati mbaya sikua na hela hata mia ya kunipeleka kule,nilichofanya ni kuweka focus yangu kwenye vision board chumbani, chooni, jikoni huku nikiwa nimeandika nipo Serengeti na familia yangu,pia nilikua naangalia Safari Chanel hususan kuhusu Serengeti mara kwa mara,pia kupitia instagram na google ni kuangalia hotels na wanyama.
Gues what mwez unaofata yaani January nilifanikiwa kupata 3.5mn kimaajabu kimaajabu maana nilibet Tsh 250 ambayo labda unaweza nunua maji ya kandoro nikafanikiwa kupata 3.5mn ambayo ni hela ya kunipeleka Serengeti
B. Kumiliki RangeRover
Hapa naweza sema nilikosea kudirect focus yangu badala ya kumiliki nikaishia kuendesha tu Rangerover ya mtu,nwyz hii ilitokea baada ya kuweka focus sana ya kuendesha gari hiyo,gafla kuna rafiki yangu alikua amesafiri na alikua ameagiza gari hiyo nikaishia kumsadia kuitoa bandarini na vibali vingine hivyo nikaishia kuiendesha tu.
Nimeweka kiambatanishi hapo chini km reference ya point A.
Wasalaam