Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,631 Reaction score 38,749 Sep 1, 2017 #1 Wimbo mpya wa lavalava dede ni hatari...ujumbe mzuri,mashairi murua kabisaa... Hakika ni chakula bora cha masikio yetu
Wimbo mpya wa lavalava dede ni hatari...ujumbe mzuri,mashairi murua kabisaa... Hakika ni chakula bora cha masikio yetu
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,809 Sep 1, 2017 #2 hazard cfc said: Wimbo mpya wa lavalava dede ni hatari...ujumbe mzuri,mashairi murua kabisaa... Hakika ni chakula bora cha masikio yetu Click to expand... Ila beats zao nyingi ukisikiliza kwa jaribu hufanana! Producer wao aongeze ubunifu.
hazard cfc said: Wimbo mpya wa lavalava dede ni hatari...ujumbe mzuri,mashairi murua kabisaa... Hakika ni chakula bora cha masikio yetu Click to expand... Ila beats zao nyingi ukisikiliza kwa jaribu hufanana! Producer wao aongeze ubunifu.
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,631 Reaction score 38,749 Sep 1, 2017 Thread starter #3 barafuyamoto said: Ila beats zao nyingi ukisikiliza kwa jaribu hufanana! Producer wao aongeze ubunifu. Click to expand... Kweli kabisa..laizer kashazidiwa na majukumu...nashauri wafanye usajili wa maxmaiza,yule producer ni hatari mnoo
barafuyamoto said: Ila beats zao nyingi ukisikiliza kwa jaribu hufanana! Producer wao aongeze ubunifu. Click to expand... Kweli kabisa..laizer kashazidiwa na majukumu...nashauri wafanye usajili wa maxmaiza,yule producer ni hatari mnoo