Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Nov 18, 2025 #1 Hawa LATRA leo wameamka na mimi maana tangu asubuhi haipiti nusu saa bila kupata sms zao. Hivi kuna posho kwenye hiyo conference.
Hawa LATRA leo wameamka na mimi maana tangu asubuhi haipiti nusu saa bila kupata sms zao. Hivi kuna posho kwenye hiyo conference.
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,198 Reaction score 9,911 Nov 18, 2025 #2 Mimi kuna sms za POLISI, TAKUKURU sijui wajinga gani hao nimejaribu kuziripotia kwamba ni spam naona bado zilikuwa zinaingia hatimae nimezi block zote.
Mimi kuna sms za POLISI, TAKUKURU sijui wajinga gani hao nimejaribu kuziripotia kwamba ni spam naona bado zilikuwa zinaingia hatimae nimezi block zote.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,628 Nov 18, 2025 #3 Ndo madudu gani hao mbona siwatambui.
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,563 Reaction score 21,380 Nov 18, 2025 #4 ******* sana hawa viumbe jana wamenikamata na kiboxer change eti hakina leseni
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,318 Reaction score 103,580 Nov 18, 2025 #5 Si wewe tu
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,318 Reaction score 103,580 Nov 18, 2025 #6 EvilSpirit said: ******* sana hawa viumbe jana wamenikamata na kiboxer change eti hakina leseni Click to expand... Wamekupiga kiasi gani?
EvilSpirit said: ******* sana hawa viumbe jana wamenikamata na kiboxer change eti hakina leseni Click to expand... Wamekupiga kiasi gani?
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,563 Reaction score 21,380 Nov 18, 2025 #7 HIMARS said: Wamekupiga kiasi gani? Click to expand... Faini 15,000 halafu ndio nikalipe 17,000 ya leseni
HIMARS said: Wamekupiga kiasi gani? Click to expand... Faini 15,000 halafu ndio nikalipe 17,000 ya leseni