Latra acheni ubabaishaji

Latra acheni ubabaishaji

ambiliki

Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
80
Reaction score
46
Kama Waziri wa Usafirishaji yupo humu au kuna mtu anaweza mfikishia ujumbe huu, latra ambao walikuwa Sumatra zamani , wamekuwa wababaishaji na wasubufu. Kwanza hawafanyi kazi kwa weledi ,pili wametengeneza mianya ya kutokuwajibika na kupoteza mapato kwa Serikali mfano

1: Ukienda ofisini kwa wanakutuma kwa watu wanao wajuwa wao

2: Ukienda kwa hao watu uwalipe na Bado ulipe latra na hupatiwe huduma kwa haraka ,hivyo kuchelewesha biasha ya usafirishaji na hivyo kuokosesha serikali mapato

3: Huduma ya kimtando kuwa mbovu wakati wote

NB: Waziri muhusika turudishie utaratibu wa zamani ulikuwa haraka na wakujali muda ,tuondolee huu uchafu wa latra
 
Back
Top Bottom