Nimekuwa nikifwatilia siasa za Marekani kwa muda sasa, kinachonishangaza ni kusikia kwamba hawa watu wanaoitwa Latino amabo wanatokea Marekani Kusini ambao wanaongea Kihispania, kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo wanavyozidi kuwa na nguvu huko Marekani kiasi cha sasa nasikia kuna baadhi ya Majimbo Marekani yanatumia Kihispania kama lugha ya taifa sambamba na kiingereza, na hata ili uwe Raisi huna budi kuwaangukia angalau kidogo!
Sasa swali langu ni kwamba, Je sisi Waafrika tuna huo uwezo? yaani uwezo wa kuhamia mahali kwa wingi na kuweza kubadilisha hali ya maisha ya hilo eneo kama vile jamii nyingine kama hao Latino? Yaani Waafrika ni wengi pia Marekani na nafikiri kila siku wanazidi kuongezeka, sasa Je ni kwa nini sijawahi kusikia jamii ya Waafrika wanaishi sehemu fulani na ikawa maarufu kama vile China town kwa Wachina au Korean City kwa Wakorea au hata Wavietnam tu? Nimesikia tena juzi Uingereza sasa kipoland ndio lugha ya pili kuongewa baada ya kiingereza kutokana na uwingi wa raia wa hiyo nchi huko Uingereza, Je, kama hao Wapoland ndio wangekuwa sisi Watanzania tungeweza kuwa na huo uwezo kwa mfano kufanya kiswahili kuwa Lugha rasmi ya Pili Uingereza? na kwa nini?
Wale jamaa wana pesa...
Nenda miami na florida uone kufuru yao....
Wanamiliki biashara ya drug kama wachaga wanavyomiliki maduka huku...
Wanatumia port of miami kama njia ya poda kuingia u.s.a
Hata hapa kwetu Tuna Lugha za kigeni nyingi mbona haswa Kihindi ambayo inaongelewa sana sehemu za mijini zenye biashara nyingi kyaua na siku zinazokuja kutakuwa na lugha rasmi ya Kichina Wasomali wamechemsha
Nimekuwa nikifwatilia siasa za Marekani kwa muda sasa, kinachonishangaza ni kusikia kwamba hawa watu wanaoitwa Latino amabo wanatokea Marekani Kusini ambao wanaongea Kihispania, kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo wanavyozidi kuwa na nguvu huko Marekani kiasi cha sasa nasikia kuna baadhi ya Majimbo Marekani yanatumia Kihispania kama lugha ya taifa sambamba na kiingereza, na hata ili uwe Raisi huna budi kuwaangukia angalau kidogo!
Sasa swali langu ni kwamba, Je sisi Waafrika tuna huo uwezo? yaani uwezo wa kuhamia mahali kwa wingi na kuweza kubadilisha hali ya maisha ya hilo eneo kama vile jamii nyingine kama hao Latino? Yaani Waafrika ni wengi pia Marekani na nafikiri kila siku wanazidi kuongezeka, sasa Je ni kwa nini sijawahi kusikia jamii ya Waafrika wanaishi sehemu fulani na ikawa maarufu kama vile China town kwa Wachina au Korean City kwa Wakorea au hata Wavietnam tu? Nimesikia tena juzi Uingereza sasa kipoland ndio lugha ya pili kuongewa baada ya kiingereza kutokana na uwingi wa raia wa hiyo nchi huko Uingereza, Je, kama hao Wapoland ndio wangekuwa sisi Watanzania tungeweza kuwa na huo uwezo kwa mfano kufanya kiswahili kuwa Lugha rasmi ya Pili Uingereza? na kwa nini?
Yes Sir,inawezekana lakini you need big money and population,latino influence yao inatokana na population yao kuwa kubwa na ni watu wako deep na culture yao na hawapendi kubadilika.
Nadhani unachanganya mambo. Hispanics wanaongea lugha moja sawa na hao Polish. Waafrika tunaongea lugha nyingi hivyo si rahisi kujiweka kwenye mzania mmoja. Hata hivyo hatuko nyuma kama unavyodhani. Nadhani Barack Obama ni kielelezo tosha. Tena alivyo ajabu ni kwamba baba yake alikwenda kusoma na walikuwa wachache lakini wakafanya vitu vya kuweza hata kutoa kiongozi wa taifa kubwa kwa vipindi viwili. What else do you want?
Nimechukulia hao Walatino kama mfano, Wapoland wako ~40mil nchini mwao, ni kama TZ tu, lakini influence yao ni kubwa kiasi kwamba Lugha yao inataka kutambuliwa kuwa ya pili Uingereza, Ninachomaanisha kama sisi Watz tungeamia kwa wingi huko Uingereza kama hao Wapoland tungeweza kuifanya Uingereza kutangaza au kufikiria kufanya Kiswahili Lugha ya Pili?
Umeongelea Barack Obama, hizo ni jitihada za mtu mmoja mmoja, mimi naongelea kama jamii, Je Sisi kama Watz tunaweza kuhamia mahali tuseme nchi nyingine ambapo vizazi vyetu vilivyobaki huku TZ vinaweza kuja hapo baadaye na kusema labda kitongoji fulani Texas au Bombay, mababu zetu waliishi na wakaenda huko wakakuta Utamaduni wa TZ, kama Ngoma, Lugha ya kiswahili na Maktaba? kama vile kwa mfano jamii za kihindi hapa Tanzania kwa mfano, hicho ndicho ninachomaanisha na sio mtu aliyeondoka TZ akaenda Marekani kusoma akawa Profesa. akafanya kazi NASA n. sio hivyo!
Je unafikiri kama sisi Waafrika tungekuwa na population kubwa kama yao (latino) huko Marekani, unafikiri tungeweza kuilamizisha Marekani (Wazungu) kubadilika kwa ajili yetu? Mbona kuna pia kuna jamii nyingine kama za Kichina amabo sio wengi kama hao walatino lakini influence inatambulika hata kidogo tu, wao wana China chinatown, kila nchi wanayohamia, kwa nini sisi hatuna?
Sawa pamoja na yote hayo swali langu ni kwamba Je, sisi Waafrika, tuseme Watanzania kama tungekuwa na hayo yote unayoyasema tungekuwa na uwezo wa kubadilisha mfumo wa nchi tunayohamia? Yaani kwa mfano hata kama ni mtaa tuu hata kuweza kuwashawishi wenyeji wetu wabadilishe mfumo wao na kujaribu kuchukua wetu angalau kidogo? Kama kwa mfano hata kufundisha kiswahili kwenye eneo tunaloishi kama zilivyo kwa jamii nyingine nje ya Afrika kama Korea, Japan, Vietnam n.k. Hilo ndilo ningependa kujua!
Na ndio hoja yangu haswa, sisi tuna tofauti gani na jamii nyingine? Kwa nini tunashindwa kuacha influence yetu mahali tunapohamia? Umetoa mfano wa Wahindi hapa TZ, hawa Wahindi ni chini ya 1% hapa kwetu lakini influence yao ipo na mpaka kuna Mashule yao yanafundisha kihindi na kuna Watanzania wanazungumza Kihindi, kuna maktaba ya kihindi Mtaa wa kisutu au Jamuhuri kama sikosei.
Sasa swali langu ni kwamba kama sisi leo tunahamia India kwa wingi tunaweza kujenga jamii ya Kitanzania huko tunakohamia, nikimaanisha kwamba labda tunaishi eneo fulani la India tuwe na shule ambazo zinafundisha Kiswahili na kadhalika yaani utamaduni wetu na kuendelea! Napenda kujua kwa nini haiwezekani kwetu tu?
Mwuulize Natalia atakupatia jibuNimekuwa nikifwatilia siasa za Marekani kwa muda sasa, kinachonishangaza ni kusikia kwamba hawa watu wanaoitwa Latino amabo wanatokea Marekani Kusini ambao wanaongea Kihispania, kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo wanavyozidi kuwa na nguvu huko Marekani kiasi cha sasa nasikia kuna baadhi ya Majimbo Marekani yanatumia Kihispania kama lugha ya taifa sambamba na kiingereza, na hata ili uwe Raisi huna budi kuwaangukia angalau kidogo!