Bongo kama Ulaya & Marekani ,kila kitu kipo ni fweza zako tu,hata kitu kikitoka leo States sijui Japan jua kesho kipo Bongo na muda si mrefu watu wanakisahau na kudaka kipya,mfano Nokia Lumia,tayari zimeshasahauliwa na bei yako ni poa kuliko hata mamtoni