kingfish JF-Expert Member Apr 15, 2011 571 159 May 5, 2012 #1 Nime-attach picha baada ya thread ya awali kutoonesha picha. Attachments LAPTOP 1.jpeg 36.5 KB · Views: 180 LAP 2.jpeg 22.7 KB · Views: 150 LAPTOP3.jpeg 29 KB · Views: 135 LAPTOP 4.jpeg 32.1 KB · Views: 113
pinochet JF-Expert Member Jun 16, 2011 345 96 May 5, 2012 #2 Mkuu zinapatikana wapi hizo? Ni PM tafadhali tuwasiliane. :director:
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 May 5, 2012 #3 mkuu mbona naziona za kawaida tu kitu kile kile design tofauti mimi nilijua kitu kina ma holograma na mazaga zaga mengine bana
mkuu mbona naziona za kawaida tu kitu kile kile design tofauti mimi nilijua kitu kina ma holograma na mazaga zaga mengine bana
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Feb 14, 2012 987 220 May 5, 2012 #4 kingfish said: Nime-attach picha baada ya thread ya awali kutoonesha picha. Click to expand... Hiyo mi staki, bongo unaibiwa fasta kwa mtindo huo wa kuiweka mfuko wa nyuma.
kingfish said: Nime-attach picha baada ya thread ya awali kutoonesha picha. Click to expand... Hiyo mi staki, bongo unaibiwa fasta kwa mtindo huo wa kuiweka mfuko wa nyuma.
Vin Diesel JF-Expert Member Mar 1, 2011 9,088 6,368 May 5, 2012 #5 Bado sana....nimeona dirisha la samsung unaloweza tumia kama dirisha,tv screen,computer screen na hata kuwa shade.....hapo kweli kuna jambo jipyaaa
Bado sana....nimeona dirisha la samsung unaloweza tumia kama dirisha,tv screen,computer screen na hata kuwa shade.....hapo kweli kuna jambo jipyaaa
Nish JF-Expert Member Jul 22, 2011 730 114 May 5, 2012 #6 vin diesel said: bado sana....nimeona dirisha la samsung unaloweza tumia kama dirisha,tv screen,computer screen na hata kuwa shade.....hapo kweli kuna jambo jipyaaa Click to expand... du! Linaweza pia kugeuka mlango hilo
vin diesel said: bado sana....nimeona dirisha la samsung unaloweza tumia kama dirisha,tv screen,computer screen na hata kuwa shade.....hapo kweli kuna jambo jipyaaa Click to expand... du! Linaweza pia kugeuka mlango hilo
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 May 5, 2012 #7 Hizi sio kama zile Nokia za kufunga za kitambo kidogo
A2 P Senior Member Mar 22, 2012 184 43 May 5, 2012 #8 Za kawaida sanaa niliziona mwaka jana pale lebanon
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,639 4,526 May 7, 2012 #9 Za kawaida sana mbona,hapa ninapoishi zinauzwa Supermarket ya Aldi..