Hiyo mi staki, bongo unaibiwa fasta kwa mtindo huo wa kuiweka mfuko wa nyuma.Nime-attach picha baada ya thread ya awali kutoonesha picha.
bado sana....nimeona dirisha la samsung unaloweza tumia kama dirisha,tv screen,computer screen na hata kuwa shade.....hapo kweli kuna jambo jipyaaa