oscar classic
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 731
- 1,379
Uwe unaniambie nina kauwezo kakufariji.Thank you M
Nimepewa kibuti usiku aisee๐Nini mbaya mama
Usinicheke mkuu, nimepewa kibuti ujue๐๐"financial services" muamala umekataa kusoma nini, that's why ๐๐
Thank you mkuu, ntakwambiaUwe unaniambie nina kauwezo kakufariji.
Pole mkuu, vumilia tu hawa mabinti bana ndo walivyo, tena sasa hivi wana kamsemo kao eti tunaongoza nchi msitubaisheKuna binti kaning'atisha mbu jana usiku .
Sasa ivi ananiletea story za sorry baby nlilala ,yaani naona ndo ananivuruga kabisa ,kmmke
What went wrong mkuu? Pole sana, jipe moyo yatapita, kama vipi sikikiza music kutoka youtube maana nchi ipo kwenye maombolezoHeartbroken. Stressed. Mood iko chini sana. Alaf kila channel unayoweka unaskia nyimbo za huzuni tu, basi wanazidi kunichanganya
Amen thank you๐Pole sana, why so sudden? Ila take it easy and let him go, someone better than him is out there waiting for you
Karibu.Thank you mkuu, ntakwambia
Acha tu mkuu. Haya mambo yasikie kwa jirani tuWhat went wrong mkuu? Pole sana, jipe moyo yatapita, kama vipi sikikiza music kutoka youtube maana nchi ipo kwenye maombolezo
Asante sana MkuuMungu akbariki mkuu
๐ polee...Usinicheke mkuu, nimepewa kibuti ujue๐๐
Thank you rafiki๐ polee...