Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,224
Kwa kweli nikiongelea vijana wenye Ushawishi mkubwa baada ya Yesu na Mtume Mohamed SAW namba 3 kwa Tanzania alikua Ontario kijana alikua anaabudiwa na Kama ukienda tofauti naye basi mabingwa wa Kutumia Keyboard Jamii Forums watakuadhibu hasa tena kwa kuwatukana hata Wazazi wako.
Ontario nikiangalia last seen yake ni taangu 13/01/2018 hajawahi kuja humu ndani kujibu tuhuma za Utapeli anazokabiliwa nao.
Ontario aliweza kuwateka kiakili akina Ruge Mutahaba, Maxence Mello na kundi kubwa la watu lakini amekua adimu mno taangu apige mamilioni ya vijana waliokua wanataka utajiri wa haraka bila kufanya Kazi.
Wenye whereabouts za huyu jamaa watujuze anapatikana wapi? Je TMT bado ipo na inaongozwa na Kina nani? Bila shaka vijana mnao download pesa mtakua na majibu sahihi.