Hawa watu wa forex ukiendana nao tu tofauti sikilizia maneno yao.he he he nilitukanwa sana na watu enzi hizo nampinga huyu kijana nia yake sio nzuri.. atawatapeli
uzi ulikuwa huu wapa..
Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki - JamiiForums
Nahisi na wewe unataka ule kichwaBaada ya kupiga pesa za mapumbafu anakula neema saivi,yani wabongo tunapenda maisha ya kuletewa mezani mno.Niliacha kazi yenye take hom 880000 nikaingia kulima huku west Kilimanjaro Vijana wenzangu wakaona nimefeli,ndani ya miaka miwili nimefanya matusi Watu Wanasema mimi Freemason
Upepo wa moneyOne among the best people nilipata kutana nao hapa JF.
POPOTE ALIPO NA MUNGU AENDELEE KUMBARIKI.
NIMEJIFUNZA MENGI SANA KUTOKA KWAKE YALIYONISAIDIA KIUCHUMI NA KIFIKRA!!
Kwa kumbukumbu zangu zinavyonituma "alikusaidia" hadi wewe kuijua forex, kama sio yeye usingekaa uijue pamoja na ka degree kako ka uhasibu...Kwa kweli nikiongelea vijana wenye Ushawishi mkubwa baada ya Yesu na Mtume Mohamed SAW namba 3 kwa Tanzania alikua Ontario kijana alikua anaabudiwa na Kama ukienda tofauti naye basi mabingwa wa Kutumia Keyboard Jamii Forums watakuadhibu hasa tena kwa kuwatukana hata Wazazi wako.
Ontario nikiangalia last seen yake ni taangu 13/01/2018 hajawahi kuja humu ndani kujibu tuhuma za Utapeli anazokabiliwa nao.
Ontario aliweza kuwateka kiakili akina Ruge Mutahaba, Maxence Mello na kundi kubwa la watu lakini amekua adimu mno taangu apige mamilioni ya vijana waliokua wanataka utajiri wa haraka bila kufanya Kazi.
Wenye whereabouts za huyu jamaa watujuze anapatikana wapi? Je TMT bado ipo na inaongozwa na Kina nani? Bila shaka vijana mnao download pesa mtakua na majibu sahihi.
Ndio mimi.Upepo wa money
Nkope = Nikope.Nkope 3usd
Nna njaa kinona
Nikope three usdNkope = Nikope.
Pamoja na mengi niliyojifunza kwake achilia mbali mambo ya uchumi ila pia nilipendezwa na uandishi wake. Nasikitika kuona unashindwa kuandika hata maneno ya kiswahili.
Mkuu umeandika nini cha maana toka ujiunge na JF then mimi mbona sijazubgumzia hiyo forex hata kidogo, na kwanini kila ukiona ONTARIO ubongo wako utafsiri forex tu.Pamoja na kuwaibia lakini bado mnamuabudu? Kweli wajinga hawawezi kuisha dunia hii!
Lete statement even single statement ambayo ONTARIO alisema pesa inapatikana kirahisi.KWAKO WEWE SIO KWA WOTE MKUU NA NDIO MAANA UKASEMA UNGEWEZA KUPATA MADINI......
HII INAONYESHA UWEZOWAKO WEWE WAKUFIKILIA NA HAUAKISI UHALISIA WA JAMII HII YA JF KUHUSU HUYO BWANA NA HADITHI ZAKE ZA ALINICHA...
NOTE: PESA HAIPATIKANI KWA NJIA ZA MKATO HATA KIDOGO....KULA ULIWE
Kuandika ndio nn ww, hapa tunazungumzia utapeli!Mkuu umeandika nini cha maana toka ujiunge na JF then mimi mbona sijazubgumzia hiyo forex hata kidogo, na kwanini kila ukiona ONTARIO ubongo wako utafsiri forex tu.
Small mind.
Nakwambia kweli mkuu mudamwingine tutumie akili kwenye vitu vya msingi, sio kufuata mikumbo ya small minded.Kuandika ndio nn ww, hapa tunazungumzia utapeli!
Hao ambao sio small minded ndio wamepigwa na ontario!Nakwambia kweli mkuu mudamwingine tutumie akili kwenye vitu vya msingi, sio kufuata mikumbo ya small minded.
Yule dogo ukiachana na mada zake hapa jf za forex, alikuwa anashusha mada tamu balaa... ONTARIO
Internet.org
Mkuu mbona unaipenda Forex, sizungumzii forex hapa au angalia post ya Upepo wa pesa hapo juu ndio utajua Great mind ninaowazungumzia.Hao ambao sio small minded ndio wamepigwa na ontario!
We jamaa bana kwa jyo tusahau alivyobia watu kwenye forex, sababu tu kuna posts aliziweka za ujasiriamali? Huwez mtenganisha ontario na forex, hayo mengine ya ujasiriamali ni mbwembweMkuu mbona unaipenda Forex, sizungumzii forex hapa au angalia post ya Upepo wa pesa hapo juu ndio utajua Great mind ninaowazungumzia.
Wewe forex tu vipi wewe.