Bwana ametoa na Bwana ametwaa na cha maana ni tuyaenz yale yote aloyafanya ili nchi yetu isonge mbele na katika maisha yake tunajifunza kua katika kila jambo ili ufanikiwe kuna changamoto nyng yabd upitie
Dah, Hayati Dkt Masau amefariki akiishi kwenye Makazi yasioendana na Hadhi na Mchango wake kwa Taifa kule Mbweni Nje Kabisa ya Jiji la Dar es salaam. Historia na Mchango wako umeandikwa kwenye Vifua vya wazalendo!
Dah, Hayati Dkt Masau amefariki akiishi kwenye Makazi yasioendana na Hadhi na Mchango wake kwa Taifa kule Mbweni Nje Kabisa ya Jiji la Dar es salaam. Historia na Mchango wako umeandikwa kwenye Vifua vya wazalendo!
Nimezoea kuwaona viongozi wetu wa kitaifa wakihudhuria kila msiba lakini cha ajabu sijaona hata press release ya ikulu ikitoa pole kwa familia ya Dr Massau km ambavyo tumekuwa tunaona inatoa hata ya wasanii? Kulikoni leo hata Kikwete, waziri mkuu na mawaziri wake hasa wa wizara ya afya kutohudhuria kuaga mwili hata kuhani tangu dr Massau afariki majuzi? Jamani serikali walau itambue tu hapa mchango wake japo Dr Massau sasa ni marehemu.
Angekua msaanii wangeenda , sasa huyo jamaa alikua anabana riziki zao za kupeleka wagonjwa india waende kufanyanini kwa msiba wake, tumia akili fikiria jamaa anayekata mrija wako wa menu uambiwe kafa utaenda msibani au utashangilia?
Huhitaji kwenda chuo kikuu kujua aina ya viongozi wetu, kwa Bibi Kidude viongozi walikuwa wanapigana vikumbo kwa Mpiganaji Dr Massau hakuna hata mmoja, hapa utajua priority ya Serikali ya Ccm mwenye macho haambiwi tazama.