Wewe mbona umemganda mme wangu ivoo unataka ujue kabila langu au kiwango changu kitandani?! Eeh wapi Arovera wangu
Baby umeme umekatika naogopa nakumic rudi kipenzi changu. Naugua juu yako baba watoto wangu nimemic unavyonikumbatiaga mwenzio
sina cha kuongezea mke wangu kwa kua hatuigizi basi tuendelee kujadili namna ya kuraise familia bora yenye amani na upendo.
Things fal apart Vaislay & 75 mm
Wewe mbona umemganda mme wangu ivoo unataka ujue kabila langu au kiwango changu kitandani?! Eeh wapi Arovera wangu
Woyeeeee wenye wivu wajinyonge
Alishawahi kuorozesha makabila yanayogawa na makabila goigoi,nikauliza baada ya kukupata ww umeangukia upande gani,wanaogawa hovyo au goigoi maana jamaa yuko fiti kwa takwim na ukubali ukatae umeingia kwenye category moja wapo hapo sema hawezi kukwambia kwa sasa.
Hana lolote! Mtu wa totozi mno mno se,a MAKOLONI YAKE YANAPIGWA FREE P HADHARANI roho inamchomoka sasa!
Bana kuna the strongest couple ever...Vaislay na 75 mm piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeee....
Hii ndoa mimi naahidi mchango wa million tano.....kwa hii ni funiko......vi-couple vyote ulivyowahi kuona jf tupa kuleeeeee...!
I am listenning!I got newz 4you n then i'got some thing to tell yag.
Mtake radhi piko wa moyo wangu! Wala haitaji kupandishwa chati, tunapendana tu kwa raha zetu!Tumezicheza sana hizo, unatafuta bonge la demu, unampanga kufake.
Target zitaingia nyavuni tartiiibu.
yap !! Si unaulizia i love u nyiingi ungeshuhudia!
Hahaaaaaaa! Dinazarde, miss neddy Surprise Heaven on Earth, TATIANA valentin, tinna cute NJOONI MCHACHUE HUKU! Kumekucha!
jukwaa limevamiwa to be honesty
sijawahi kuiona hiyo post ,..tho naelewa my baby ni chautundu lakini kwangu hajakosea kufika,na anachokipata anakipenda hawezi kutoka.