Hahaaaaaa! Umeenda mbali! Japo hujataja jina, ila kama ni mie na baby yangu ITS TRUE 100%Afu umu nahisi kuna mtu kalipia kutajwa tajwa kwa style za "I love you", maana hajiamini amini.
Enzi zetu ukitongoza demu akazingua unakodi demu mkali zaidi yake afu unajifanya ndo mapenzi moto moto, mwisho wa siku target inaingia line kama kufanya mashindano au kwa kujiuliza ana nini huyu mpaka flani kamkubali.
Nahisi kuna target mahali.
Things fal apart Vaislay & 75 mm
Ooooooooooooh!!
Dedx: Ditto ~ Tushukuru kwa yote!!
Kwa pamoja tutazame hapa tulipoooo...
Inatuonyesha picha ya mbali huko tuendakooo......
Mpenzi._.......
Mengi utasikiaaa....
Yasemwayo usiweke moyoni...
Kuteleza inatokeaaa...
mambo ya ndani usiyaweke adharani...
Wengine.....
Amani tuliyonayo kidogo....
wanaiota hawana.............
Ussssshhhhhhhh!! That is what they call it love!! We got it all!!
Just us & only us!!
Dedication to all couples!!
I love u my Arovera just like the way lara1 do to shemizooooooo Matola
One love!!!!!!!..............
kaka yangu siku hizi mifano tunachukua kwa wanaoshinda tu...sio wanaoshindwa..mzima lakini?
Love you my wife you mean a lot to me, (Mom Fay) iwe jua iwe mvua nitakupenda na kukuheshim pia.
Hahahaaaa,namshukuru Mungu ananipa uhai!!Vip wewe my dada?Be blessed!
Mkuu kwenye zile takwim zako makabila goigoi,sijui makabila yanayogawa huyo mke wako mom fay anaangukia wapi?
kaka yangu siku hizi mifano tunachukua kwa wanaoshinda tu...sio wanaoshindwa..mzima lakini?
kwakuanzia tu faraja kota na na nyalandu then agrey marleale na hoyce temu.
Hahaaaaaa! Umeenda mbali! Japo hujataja jina, ila kama ni mie na baby yangu ITS TRUE 100%
siku zote mtu alieshindwa huchukua muda mwingi kuwaza past badala ya kuandaa future ndo hapo wewe unaangukia.
KUMEKUCHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!? MTUWACHE TULALEEEEEE!!! mmmmxxxxyuuuuuuuuu!!!!!! (ole wake mtu aniquote)