mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,161 Reaction score 802 Mar 6, 2015 #1 Habari wakuu, Laptop yenye ukubwa kama huo ina uwezo gani?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Mar 6, 2015 #2 huo ni uwezo wa kuhifadhi vitu tu kaka, haina uhusiano na uwezo wa computer yenyewe. laptop mbaya kushinda zote duniani pia inaweza kuwa na terabyte
huo ni uwezo wa kuhifadhi vitu tu kaka, haina uhusiano na uwezo wa computer yenyewe. laptop mbaya kushinda zote duniani pia inaweza kuwa na terabyte
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,313 Reaction score 157,591 Mar 6, 2015 #3 I had a terrible Samsung which had a terrabyte in disk capacity a couple of years ago.