Laptop yangu inasumbua

prof Mose

Member
Joined
May 10, 2019
Posts
37
Reaction score
29
Habari wana Jf wakati naendelea na kazi zangu hapa pc yangu imecollapse ghafla ikanambia your pc run ito ploblem you need to restart ikajizima na kurestart yenyewe lakini ghafla tena ikacollapse na mara hii inashtuka na kuzima.

Sasa naomba wataalamu mnieleze tatizo ninini na inatakiwa nifanyeje? Natanguliza shukrani.
 
Chunguza feni kama inafanya kazi vizuri!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…