Laptop yangu inastack kila mara

Laptop yangu inastack kila mara

Laptop ya 2007 unategemea isikwamekwame mwaka 2017? Miaka 10 baada ya kutengenezwa kwake?
Hiyo laptop hakuna kitu utakachofanya ipige mzigo vizuri, piga kazi utafute hela ununue laptop modern. Hiyo laptop specs zake zinashindwa hata na simu ya mwaka juzi. Ram ya 2GB kwenye laptop ni useless mwaka huu. Uza tu mkuu au gawa bure kabisa ila hakuna kitu utafanya ufurahie hiyo machine.
mkuu msaada wako yangu toka asubuhi sijui nimebofya wapi yaani maandishi yaliyopo ni madogo sana sijui nifanyeje?
 
Angalia betri itakuwa imeshakufa yangu yenyewe ilikua inazingua inastack kumbe Tatizo betri
 
Back
Top Bottom