Laptop yangu inastack kila mara

Laptop yangu inastack kila mara

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,858
Habar wanazengo,
Bila kupoteza muda naombeni ushauri ambao naeza Fanya mwenyew kitu kikatik,...
Ni hivi laptop yangu hivi majuzi kabla ya kudai kupigwa window upya imeanza kustack na ku-misbehave kiswahili hapa sijui,yaani unakuta inafungua kitu hujakomand,nin shida,cursor yaeza stack mpaka sekunde 10 mzima its disgusting asee,wataalamuna nipeni maujanja taraa naeza tatua tatizo.

Ali akuli ujanja kupata, kumpelekea fundi ilihali nami nataka jifunza kupitia mikasa hii its cool nijuzwe nami ning'amue.
Ahsante.
 
Jina la laptop na specific zake tunaomba Tafadhali ili tuweze kukusaidia kirahisi
 
Ni kawaida kwa laptop window inapokwisha kuanza kustak na misbehave - hakuna utatuzi zaidi ya kuapdate usisubiri mpaka driver kukataa kufanyakazi au kukataa kuwaka kabisa
 
Nshabadili window but still the problem persist mkuu.
 
Laptop ya 2007 unategemea isikwamekwame mwaka 2017? Miaka 10 baada ya kutengenezwa kwake?
Hiyo laptop hakuna kitu utakachofanya ipige mzigo vizuri, piga kazi utafute hela ununue laptop modern. Hiyo laptop specs zake zinashindwa hata na simu ya mwaka juzi. Ram ya 2GB kwenye laptop ni useless mwaka huu. Uza tu mkuu au gawa bure kabisa ila hakuna kitu utafanya ufurahie hiyo machine.
 
Ram iliyomo kwenye laptop ni ndogo. Ongeza Ram nyingine kwenye slot ya akiba kisha Fanya file defragmentation huenda mafaili yamepandana kufuatia uzimaji wa computer kupitia common switch.
 
Habar wanazengo,
Bila kupoteza muda naombeni ushauri ambao naeza Fanya mwenyew kitu kikatik,...
Ni hivi laptop yangu hivi majuzi kabla ya kudai kupigwa window upya imeanza kustack na ku-misbehave kiswahili hapa sijui,yaani unakuta inafungua kitu hujakomand,nin shida,cursor yaeza stack mpaka sekunde 10 mzima its disgusting asee,wataalamuna nipeni maujanja taraa naeza tatua tatizo.

Ali akuli ujanja kupata, kumpelekea fundi ilihali nami nataka jifunza kupitia mikasa hii its cool nijuzwe nami ning'amue.
Ahsante.
Mkuu fanya haya km hautajali.
Piga window upya na update driver zako.
 
Ram iliyomo kwenye laptop ni ndogo. Ongeza Ram nyingine kwenye slot ya akiba kisha Fanya file defragmentation huenda mafaili yamepandana kufuatia uzimaji wa computer kupitia common switch.
Thanks.
 
Back
Top Bottom