laptop yangu haiwaki.

Morgan Fisherman

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
1,799
2,074
habarini wakuu

nina laptop aina ya advent nlkua naitumia vzur lakn nkasafiri kama wiki hiv narud nakuta haiwaki ila inaonesha inaingiza chaji.

nahitaji ushaur wenu nfanyaje au tatizo ni nini.
 
Endapo utakuwa unataka kwenda safari, na unajua itachukua kama siku 3 na kuendelea ni vizuri ukachomoa battery kwenye kifaa chako, ili isijinyonye. Vifaa vingi RAM huwa inaendelea kula battery hata kama kifaa umekizima
 
Back
Top Bottom