mgange hussein
Senior Member
- Sep 10, 2012
- 159
- 43
Amani kwenu wanajamii.Laptop yangu mwanzo ilikuwa inaweza kudownload video vizuri ilikuwepo internet download manager. Lakini sasa nikitaka kudonload inataka niweke serial number.Nimejaribu kuiformart IDM, nakuidownload upya inataka serial number.Kama kuna njia nyingine
nielekezwe badala ya IDM
Poa sana mkuu.fungua start button then type maneno haya Regedit baada ya hapo daboclick hiyo setup ya regedit,ikifunguka nenda edit then click find
Kwenye kibox cha find pale andika Internet downloader,press enter baada yahapo delete kila maandishi yanayotokea hapo,click find na urudie kudelete hayo maandishi yanayotokea,click find mpk hayo maandishi yakiacha kutokea
Restart machine then fungua idm weka hizo serial hakikisha haupo kwenye mtandao baada ya hapo click ok ikiload sana cancel,then jaribu kudownload chocote
taratibu mkuu twende pole pole. Fafanua kwa uwazi unao eleweka kiongozi tafadhali.
mkuu umenipata?
nime kupata kaka ila tatizo langu ni tofauti. mimi nahitaji laptop yangu iwezeku [dowlod] haina [dowlod] kaka naomba msaada wako kaka.
INGIA GOOGLE
Andika internet downloader free download
Fungua link moja wapo kati ya utakazo ziona
nimefungua kwenye google imeshakuja [internet downlod] sasa ni fuate proses hipi?
nimefungua kwenye google imeshakuja [internet downlod] sasa ni fuate proses hipi?
Click hiyo link iliyokuja (idm)
Then nambie kimetokea nn
nime kupata kaka ila tatizo langu ni tofauti. mimi nahitaji laptop yangu iwezeku [dowlod] haina [dowlod] kaka naomba msaada wako kaka.