Naomba nielekezwe jinsi ya kudownload IDM katika laptop yangu aina ya HP yenye window 7. Niliifuta bahati mbaya IDM sasa kila nikidownload inataka niweke serial number.Mwenye kujua naomba anielekeze tafadhali ili nami niweze kudownload video na game.
Nitashukuru kwa msaada wenu