Laptop yangu bios inasoma legacy na secure boot ipo unsupported

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari za muda huu leo nilikuwa najiuliza kwanini pc yangu haipate update ya window 11 ingali vigezo vyote vinavyo kama TPM 2 generation ya 8 RAM 8 na kila kitu sasa ikanibidi nichunguze zaidi nikaja kuona kumbe BIOS ni legacy na bios ni unsupport ningependa kuulize je kunauwezekana wakubadilisha au ndio siwezi pata tena window 11??
Chief-Mkwawa kama na wewe unajua watu wakali wa hizi kazi naomba watag maana mm nimekwama hapa sijui nifate step gani ili nisolvd
image.png.fcc334e6c6e8b9fb6535a090726c8a69.jpg
image.png.f753f83d403a028ab5a9b309305a1da9.jpg
 
Ingia bios eka secure boot na legacy viwe pamoja.

Then Angalia kama hdd yako ni gpt, kama sio convert mbr kwenda gpt, kuna njia kibao zina convert bila ku loose data.
 
Ikishasupport window 11 utakuja hapa kulia kuwa window updates inakula 3GB kwa siku!🚶🚶🚶
 
Acha bhana hahaha
Halafu ni kazi sana kuzuia automatic window updates isile bando.Utaambiwa kuwa zima window automatic updates lakini nakuhakikishia kuwa haitafua dafu.Mimi nilipata taabu sana hadi nikaamua kutumia siku nzima google ndiyo pona yangu ikawa hapo.Window automatic updates huwa inakula bando la internet siyo chini ya 3GB kwa siku.Ni kilio kikubwa sana kwa masikini.
 
Ukiwa na windows latest huwa haili sana, maybe Mara 1 Kwa mwezi na unaweza ukaipause siku 7 ama mwaka kutegemea na windows.

Tatizo wabongo Wana cd zao, unawekewa win 10 Ya 2015, hivyo inabidi ufanye update zote kuanzia 2015 hadi 2021 hapo ndo balaa lina Anza kila siku update.
 
Mkuu weka UEFI on, halafu legacy off. Secure boot inafanya kazi kwenye UEFI tu. Na UEFI inaendana na GPT format ya Hard drive, kwa hiyo lazima uconvert HDD kwenda GPT, baada ya kuweka UEFI na secureboot on.
 
Change boot kuyoka legacy modekwenda UEFI , utaweza kuwasha Secure boot ON.
 
Back
Top Bottom