Laptop yakufungia Wiki>>>>>>>>>

Laptop yakufungia Wiki>>>>>>>>>

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
laptop.jpg
no comment:
 
inawezekana inatumia ule umeme wa batre nyingi alafu unatumbukiza kwenye choo cha shimo
 
du! siku moja mwaka jana nilipita kwenye shule niliyosoma elimu ya msingi!nikaona kwenye ratiba ya mtihani kuna soma linaitwa tehema yaani computer nikashindwa kuelewa wanasomaje maana ata umeme hiyo shule haina!ndio maana nilivyoona hii picha ikanikumbusha mbali sana
 
We saudari wewe umeitolea wapi hiyo laptop yangu?na umeileta hapa kufanya nini?em irudishe ulikoitolea fasta.
 
Last edited by a moderator:
We saudari wewe umeitolea wapi hiyo laptop yangu?na umeileta hapa kufanya nini?em irudishe ulikoitolea fasta.
Punguza hasira mami........ taratibu tutaelewana.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na hii dadavuzi mpakato, basi gharama za umeme unakuwa umeziepuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom