Laptop Vs Simu, ipi inakula MBs nyingi?

Laptop Vs Simu, ipi inakula MBs nyingi?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,787
Nimeambiwa kuwa naweza kutumia simu kama moderm ya laptop aidha kwa Bluetooth, WI-FI au USB tethering.
Swali langu ni kuhusu ulaji wa MB's zangu.
Je ninapotumia laptop zitaisha haraka zaidi ya kuzitumia kawaida kwenye simu?(assuming sites zinazokuwa visited ni zilezile)

Naomba nisaidiwe.
 
Ulaji ni tofauti kutegemeana na content za hizo sites..!! Mf ukifungua blog nyingi za kibongo ile mobile view inakuwa ina load vichache na kwa size ndogo ila ukizifungua kwenye PC (Full Site/ web version) scripts, na mapambo + mabango kibao yanaongeza ulaji wa hizo mb Ukilinganisha na kwenye simu
 
Nimeambiwa kuwa naweza kutumia simu kama moderm ya laptop aidha kwa Bluetooth, WI-FI au USB tethering.
Swali langu ni kuhusu ulaji wa MB's zangu.
Je ninapotumia laptop zitaisha haraka zaidi ya kuzitumia kawaida kwenye simu?(assuming sites zinazokuwa visited ni zilezile)

Naomba nisaidiwe.
ukiTether internet ya simu yako kwenye computer ulaji wa MB utakuwa ni sawa sawa na kama ukiamua kuitoa line kwenye simu then ukaiweka kwenye modem then utumie modem kwenye computer. Browser ya computer itaLoad pages kwa volume ile ile ya data haijalishi unatumia modem au simu kuipa intenet. ukiSurf internet kwenye simu directly, mb zinazolika zitakuwa ni chache kuliko unavyotumia computer hii ni kwasababu browser za simu zinawezakuwa na vitu vichache vya kuLoad ukilinganisha na browser ya computer. na pia kwenye simu unaweza kuchagua kuBrowse pages as a mobile site au desktop site.
 
Mkuu kwa tethering, kwa wifi hotspot, ama kwa modem matumizi ya data ni yaleyale kutokana na computer yako, apart from visiting websites kuna apps mbalimbali zinazotumia network yako huku background. Na matumizi ya data kwenye simu yanatokana na browser unayotumia mfano Opera Mini inacompress pages kuokoa data zako pia mfano firefox ya android inaload contents zote kama browser za pc.
 
Nilikuwa nikitumia nokia yangu kama modem hapo zamani kwa Nokia ovi suite
.
MB zilikuwa zinakimbia si kawaida.....
Nilipo toka sudan nili ludi na MCEL modem ambayo naifaidi mpaka sasa mb natumia za kawaida tu....
.
Ila nilijaribu ku create wi-fi hotspot wakati natumia e5 angalau MB zilikuwa ni kawaida tu japo speed sio kubwa sana tofauti na ovi suite
.
In general kiukweli siwezi ku confirm kip ni bora
 
...Nilipo toka sudan nili ludi na MCEL modem ambayo naifaidi mpaka sasa mb natumia za kawaida ...
.
In general kiukweli siwezi ku confirm kip ni bora
ha ha ha ha snipa bwana!!kwani ujumbe usingejitosheleza bila kuse ulipotoa sudan te te te te!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom