Nahitaj laptop used isiwe mini lakini.Mwenye nayo anipm tuongee biashara

- Sema bajeti yako ili uelekezwe mahala pa kwenda kununua/ kuchukua
Uko wapi?
Niko interestd zaid na processor speed.Ila angalau iwe zaid ya 2.0 dual coreipo dell 80gb hardisk
1gb ram
bei 280,000/=
kaka chamuhimu ww niambie kiasi chako cha fedha......tuuNiko interestd zaid na processor speed.Ila angalau iwe zaid ya 2.0 dual core
kaka chamuhimu ww niambie kiasi chako cha fedha......tuu
mm nina laptop za aina tofautiii na bei zanngu usilingalishe na popote,,,, call 0779420000
Mkuu hii namba ya trekta au.Mbn nakupgia inakatka bila hata kuita?